NYIMBO ZA TAARAB (HUZUNI) KATIKA ZANZIBAR, MWIMBAJI

dc.contributor.authorSalem, Mohammed
dc.date.accessioned2019-09-30T07:55:24Z
dc.date.available2019-09-30T07:55:24Z
dc.date.issued2019-09-19
dc.description.abstractNi dhahiri kuwa, katika maendeleo ya muziki wa taarab hivi sasa, nyimbo za huzuni nazo zimeibuka kila pembe mithili ya uyoga. Hali hii ya nyimbo za furaha na huzuni zimekuwa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Ongezeko hili la nyimbo za huzuni katika tasnia ya muziki wa taarab haliendani kabisa na dhamira na lengo halisi na asilia la uanzishwaji wa muziki wa taarab. Wakati huo ni kwasababu muziki kwa watawala ndani ya kasiri ya taarab, ulikusudiwa kuwapa furaha na starehe tabaka tawala ikiwa ni sehemu ya burudani wakati wa mapumziko. Haikutarajiwa Sultan awe na huzuni, kwani hupewa kila atakacho. Taarab baada ya kuwa muziki wa makabwela, tanzia na huzuni, haziachi kuwepo katika maisha yao halisi.ar
dc.identifier.urihttps://repository.sebhau.edu.ly/handle/1/1859
dc.language.isootherar
dc.publisherجامعة سبهاar
dc.titleNYIMBO ZA TAARAB (HUZUNI) KATIKA ZANZIBAR, MWIMBAJIar
dc.typeOtherar
Files
Original bundle
Now showing 1 - 2 of 2
Loading...
Thumbnail Image
Name:
البحث.pdf
Size:
142.04 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Loading...
Thumbnail Image
Name:
الغلاف.pdf
Size:
87.45 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: